Kutana na wanawake wa Mara na Mwanza wallivyoadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kujadiliana maswala yanayohusiana na jinsia na usawa kati ya wanawake na wanaume.