
Tumezoea kuona watu wakifuga viumbe mbalimbali kama kuku, bata, mbuzi, mbwa nk, ambao wanampa faida mfugaji, Lakini je,. mtu akifuga vyura hasa huku uswahilini anachukuliwaje? Tunaye mfuga vyura na waswazi wameyasema yao, ni Jumapili saa 12:30 jioni
