Submitted by Ndimbumi on Friday , 31st Jul , 2015Dance 100% (2015) ndio hii hapa. Jumamosi hii utapata kuona Usaili wa kwanza uliofanyika TCC club Chang'ombe. Makundi yalikuwa mengi lakini mwisho wa siku makundi matano tu ndio yalijikatia tiketi ya kuingia robo fainali. JUMAMOS Saa 12:30 JIONI.