Name: 
CLAUDE OBEDI
Watanzania wenzangu tuwe makini wakati wa kufanya maamuzi ya kutoa kura zetu kwa wagombea wa ngazi zote, tusikurupuke, tusikilize sera za kila mgombea.
Category: 
Hamasisha