Name: Wilfred mbuya Vijana wenzangu tujitokeze kumchagua kiongozi alie na sifa na mwenye uwezo wa kuiongoza Tanzania, isiwe kwa ushabiki au kufuata mkumbo. #ZamuYako2015Category: Hamasisha