Name: Fredrick Renatus JohnKikubwa cha kuwaambia watanzania wenzangu ni kuwa tujitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura kama tulivyofanya wakati wa kujiandikisha.Category: Hamasisha