Name: Rose RichardWatanzania ni wakati wa kufanya mabadiliko katika nchi yetu kwa kujitokeza kupiga kura katika uchaguzi mkuu, tuchague viongozi wenye uchungu na nchi yetu.Category: Hamasisha