Mandhari katika eneo la biashara la Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Minja.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania, Johnson Minja akiwa Mahakamani.
Waziri wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Dkt Abdallah Kigoda.
Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Kijamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS.
Baadhi ya maduka yakiwa yamefunguliwa kwa kuvizia katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam.