Submitted by Halima on Friday , 20th Nov , 2015Embe, lina matumizi mengi zaidi ikiwemo chakula, kinywaji (Juisi) kiburudisho (achali) lakini mbali na hilo wiki hii TAMBUKA tunaangalia embe kama zao la biashara na faida zake.