
Mkuu wa Matukio kutoka BASATA Kurwijira N Maregesi

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kutoka Vodacom Jacquiline Materu

Msanii Ali Kiba ambaye ameshiriki kama jaji mgeni Dance100%

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kutoka Vodacom Jacquiline Materu akikabidhi mfano wa hundi ya milioni 7 kwa kusni la Timu Makorokocho

Meneja wa idara ya huduma kwa wateja Vodacom , Willynevilline Msamo, akitoa maelezo kwa wawakilishi wa makundi yanayoshiriki fainali ya Dance100%

Wawakilishi wa makundi wakifanya ziara katika ofisi za Vodacom, Mlimani City Dar es Salaam

Dundi la DDI Crew wakiwa na Mtangazaji Zembwela baada ya kipindi cha SUPAMIX cha EA Radio