Mganga mkuu wa serikali Dkt. Donan Mmbando (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na katibu mkuu wizara ya fedha na uchumi Dkt Servacius Likwelile.
Katibu wa kongamano la Baraza la Wanawake wa kiislamu Wilaya ya Kongwa Mariam Issa Msami.