Submitted by richard on Friday , 16th Oct , 2015#SKONGA Jumamosi hii saa 12:00 Jioni Wanafunzi kutoka Kisukuru Regent Sec. School wanajadili kuhusiana na hili: Je, ni vikwazo gani ambavyo vinawasababishia baadhi ya wanafunzi kutofanya vizuri katika masomo yao na hasa kipindi cha mitihani?