Mtaa kwa mtaa
Hawa ni baadhi ya vijana wanaopatikana tandale kwa Ali Maua A, wakielezea umuhimu wa mitandao ya kijamii uswahilini,
salaam
Wafanyabiashara wakiswazi, muuza maji kwenye tolori na dereva wa bodaboda wakipeana faida na matumizi yao, na jinsi ya kupunguza matumizi ili kukamilisha malengo yao.
Mtaa kwa mtaa
Hawa hapa mabinti wa kiswazi, wakijibu swali ambalo wameulizwa kuwa, 'ni kwa nini mabinti wengi wanapenda kuwa na mabwana wenye pesa, na sio wao wawe na pesa'