Mtaa kwa mtaa
Huyu ni mmoja kati ya wakazi wa kiwalani migombani, akielezea jinsi maji yanayotoka viwandani yanavyotumika kumwagilia mboga za majani
Uswazi.com
Hapa mtaalam wa kutengeneza mashine za kutotolea vifaranga vya kuku pamoja na ndege, akitoa darasa.
Salaam
Mama ntilie akielezea namna ambavyo yeye huwa anapata mboga zilizo safi na salama kwa mlaji.