SITE
Katika usanifu wa sakafu kuna vifaa vya ujenzi ambazo vinafaa katika maeneo hayo. Kama vile vigae au tiles za kuweka kwenye sakafu.
SITE
Kwenye upigaji wa sakafu katika maeneo yatakayotumika na watu wengi, ni lazima kuzingatia usafi ili kuifanya sakafu idumu kwa mda mrefu.
Fahari ya Nyumba
Ngazi zisiposanifiwa vizuri zinaweza kusababisha matatizo kwa mtumiaji, Wataalamu wanashauri kuwa ngazi zinatakiwa kufanana masarani sehemu zile za kukanyagia.