SITE
Ni jinsi gani mafundi wanapaua nyumba kwa kutumia mabati na kutumia ujuzi wao katika kuunganisha mabati bila kufahamu umuhimu wa 'King Post Size' katika kupaua nyumba.
SITE
Fahamu umuhimu wa 'King Post Size' katika kupaua nyumba. Ni jinsi gani paa la nyumba yako litakuwa na mwinuko mkubwa au mdogo na faida zake pia.
FAHARI YA NYUMBA
Fahamu utofauti wa rangi za bei nafuu ukilinganisha na rangi za gharama kuhusiana na suala na ubora.


