Sehemu ya Kwanza
Kama unatafuta soko la mazao yako, basi biashara nzuri kufanya ni uuzaji/ulimaji wa embe kutokana na maelezo ya mkulima wetu wa leo.
Sehemu ya Pili
Changamoto hiyo ikifanyiwa kazi, basi embe itakuwa zao bora zaidi la biashara.
Sehemu ya Tatu
Hivi ndivyo unapaswa kufanya ili kupata mwembe wa kisasa