Kimbweta
Zipo sababu nyingi zinazompelekea mwanafunzi kuhama, moja wapo ni hii anayoielezea mwanafunzi huyu.
Q and A
Pale 'unapoingia chaka' kujibu swali kama kawaida utakuna kidevu tuuu.
Tokelezea
Ni staili tu za uchezaji kutoka kwa wanafunzi wa Fanaka Memorial na ndivyo walivyotokelezea.