Unakubali kwamba shule zinazofundisha elimu ya kawaida na vipaji ni bora kuliko shule zinazofundisha elimu ya kawaida pekee?
Huyu ndiye aliyetokelezea kwa wiki hii, yeye ni mcheza mpira hodari katika shule yao ya High View Gogolamboto
Nani anaweza akatuambia huu ni muziki wa aina gani?