KITENGO - Nyandu tozi 11
Ndani ya kitengo ni part 2 ya Nyandu tozi sasa akielezea zaidi safari ya maisha na musiki pia kwanini aliacha kufanya kazi na Dudubaya.
MGODI - Yakuza Mob
Mpaka sasa wamekua kwenye game miaka kumi lakini bado underground, Yakuza Mob wakuwa wanne wamebaki wawili na wakiwa na single yao mpya - Bang Bang - na sasa waki shine ndani ya Mgodi.
Usiku Mnene - KTMA
Ndani ya Usiku mnene tuna sherekea tuzo za KTMA 2014, kwenye stage waki amsha WEUSUI bila kuona gere na Mwana FA pia afanya yake ki masai masai. Na kwenye red carpet, Ray C atuambia ni msanii gani wa kike ambaye ana mkubali sana mwaka huu.