NJE YA BOX
Msanii Baraka De Prince amesema kupishana na Msanii Ruby ndio chanzo cha video ya Nivumilie kutokufanyika.
KITENGO
Mpiga Picha Maarufu wa kava za Wasanii wa Bongo Fleva 'RAQUE' amesimulia jinsi suala la Msanii Rucky Rucky lilivyovuja katika magazeti wakati wakiwa Studio wanatengeneza tangazo la kava kwaajili ya singo ya Msanii huyo wa Kike.
Msanii Ben Pol ameingia kwenye Tatu Chafu ya Planet Bongo ambapo ametaja filamu yake bora anayoipenda .
