NJE YA BOX
Mkongwe wa Takeu Style Mr Nice ameongea na Nje ya Box ya Planet Bongo na kusema anakunywa pombe na kulala bar kwa kuwa ana pesa ya kutosha .
KITENGO
Msanii wa Bongo Fleva Shilole ameongea na Kitengo cha Planet Bongo ambapo amekubali kushawishiwa kusafirisha madawa ya kulevya nje ya nchi. Shishi alisema yeye anasafiri nje ya nchi kwaajili ya kazi ya muziki na yeye sio punda.
KICHUPA
Raper wa Bongo Fleva Darasa atoa video mpya 'HEYA HAYE'