Mizengo Mpayala amuiga Rich Mavoko
Msanii underground akiimba style kama ya Rich Mavoko, je unadhani hakuna ubunifu tena kwenye muziki?
Mez B adai hakuna Mchawi kama pesa
Msanii aliyewahi kutamba kipindi cha nyuma Mez B adai kwamba yeye haamini kwenye uchawi kama wasanii wengine, mchawi mkubwa ni pesa tu