FNL MZUKA -DULLY
Dully sykes amefunguka kuhusu kuandikiwa wimbo wake mpya na kundi kutoka temeke Yamoto band.
FNL MZUKA ROGERS LUCAS
Rogers Lucas akiimba wimbo wake mpya aliomshirikisha Mwanamuzki Jose Mtambo.
FNL MZUKA LADY NAH
Mwanadada Lady Nah ambaye ni mdogo wake na Mwanamuziki Naj amesema kuwa yeye hawezi kwenda kuishi nje na kuikimbia Bongo Huyu hapa akifunguka zaidi kuhusu hilo ndani ya Friday Night Live.