Ripoti
Kocha wa Yanga, babu mholanzi-Hans Van Der Pluijm, aipeleleza Azam kwenye mechi dhidi ya Ferreviario De Nampula. Azam na Yanga ndizo zinazofukuzana kwa karibu kwenye mbio za ubingwa wa ligi kuu na zitakutana 19/03/14
Vumbua
Kocha wa timu ya Taifa ya wanawake ya wanyanyua vitu vizito, Marry Obyero, asema muitikio wa wanawake kwenye mchezo huo ni mdogo!
Zengwe
Promota Jay Masangi na Rais wa TPBO bwana Yassin Abdallah Ustaadh wazozana kiasi cha kukaribia kushikana mashati kufuatia sakata la malipo ya pambano la usiku wa mabingwa, August 30 mwaka jana!