Ripoti
Nahodha wa Azam FC, John Bocco, afurahia Yanga kupoteza mchezo wao na kuwafanya wanalambalamba kuukaribia ubingwa.
Jivunze Game
Mwalimu wa mchezo wa shotokan karate,Sensei Philip Chikoko, atoa darasa la mchezo huo
Vumbua
Bondia Thomas Mashali afanikiwa kutwaa ubingwa wa UBO uzito wa juu kati baada ya kumtwanga Japhet Kaseba kwa point.