Ripoti
Rais wa TFF bwana Jamal Malinzi amesema tarehe 24 mwezi huu atatangaza mabadiliko makubwa kwenye benchi la ufundi la TFF
Vumbua
Golikipa wa zamani wa Lipuli ya Iringa, TZ Prisons ya Mbeya, Polisi Morogoro na Simba ya DSM-Aman Simba ambaye kwa sasa anadakia Abajalo ya Sinza iliyopo daraja la pili ngazi ya mkoa, amesema ligi hiyo ni ngumu kulko ligi kuu
Vumbua