Submitted by Ndimbumi on Tuesday , 1st Sep , 2015Ile siku tuliyokuwa tukiisubiri imefika, Hii ni Robo fainali ya Dance 100% (2015). Jukwaa jipya, ubunifu wa hatari na kila kundi limejifua kinoma noma kuwania nafasi 10 tu za nusu fainali. JUMAMOSI HII Saa 12:30 jioni