Name: EvanceWatanzania na vijana wenzangu kura yako moja inaleta mabadiliko tusikubali kudanganywa na hela wanazotoa, mgombea yeyote anaegawa hela hafai kuwa kiongozi.Category: Hamasisha