Soko la Kariakoo kuanza kazi rasmi Januari 2026
Shirika la Masoko ya Kariakoo limekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa makundi mbalimbali ya wafanyabiashara wa soko hilo kwa lengo la kuwasikiliza na kuwapa mrejesho wa namna shirika hilo lilivyoshugulikia maoni na changamoto zao.

