Watatu wafariki kwa kugongwa na Lori Kimara Watu watatu wafariki na wengine wamejeruhiwa kwenye ajali iliyotokea usiku wa kuamkia Februari 14,2025 katika Mtaa wa Kimara Stop Over. Read more about Watatu wafariki kwa kugongwa na Lori Kimara