Serikali yakanusha bandari ya Bagamoyo kuchukuliwa
Waziri wa Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo,
Serikali imesema kwamba taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba kampuni moja kutoka Saudi Arabia imepata mkataba wa uwekezaji wa kujenga na kuendesha Bandari ya Bagamoyo sio za kweli.