ACT yapinga kauli ya Ulega kuhusu mwendokasi

Chama cha ACT Wazalendo wamepinga vikali kauli iliyotolewa jana Februari 14, 2025 na Waziri wa Ujenzi, Ndg. Abdallah Ulega, akipendekeza kuwekwa utaratibu wa kulipia matumizi ya barabara ya mwendokasi kwa wale wanaotaka kuepuka foleni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS