Taasisi za dini zisizosajiliwa kuanikwa Bungeni
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania Innocent Bashungwa amesema serikali inaanza kufanya uchunguzi dhidi ya taasisi za dini ili kubaini ambazo hazijasajiliwa na kuziwasilisha bungeni ili watanzania wajue kuwa wanapowachukulia hatua sio mambo ya kisiasa