Bruno akataa maokoto ya waarabu Saudi Arabia Kiungo mshambuliaji wa Manchester United Bruno Fernandes amekataa ofa nono kutoka katika klabu ya Al Hilal inayoshiriki ligi kuu ya Saudi Arabia (Saudi Pro League). Read more about Bruno akataa maokoto ya waarabu Saudi Arabia