Chelsea kutoa bilioni 18 Sancho kurudi Man United
Chelsea imethibitisha kuwa haitampa mkataba wa kudumu Muingereza Jadon Sancho badala yake watalipa faini ya pauni milioni 5 ambayo ni sawa na shilingi bilioni 18,154,985,000 kwa fedha za Tanzania ili kumrudisha mchezaji huyo katika klabu yake ya Manchester United.