Yammi amlipa Nandy Milioni 100 ili atoke label
Usiku wa kuamkia leo msanii Yammi amefanya uzinduzi wa wimbo wake mpya na akifanya interview na waandishi wa habari amefunguka kuwaalika wasanii Nandy na Billnass lakini hawajatokea,mbali na hilo pia ameeleza kulipa kiasi cha Milioni 100 ili kutoka The African Princess