Balozi Timothy Bandora afariki dunia

Bandora, Mwanadiplomasia nguli wa Tanzania, amewahi kuhudumu katika awamu ya kwanza hadi ya tatu akitekeleza majukumu mbalimbali ya kitaifa na kimataifa katika utumishi wa umma pamoja na ndani ya Umoja wa Mataifa (UN).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS