Gabriel bado yupo sana Arsenal

Mlinzi wa kati, Gabriel Magalhaes amesaini mkataba mpya na Arsenal hadi 2029. Raia huyo wa Brazil ameongeza miaka miwili kwenye mkataba wake wa sasa, ambao ulikuwa unafika ukomo 2027.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS