Eng Hersi akiri kuwa na deni la uwanja Yanga
Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said, amekiri kuwa ana deni kubwa kwa mashabiki wa klabu hiyo juu ujenzi wa Uwanja. Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Yanga 2025, Hersi ameeleza kuwa Mchakato wa Uwanja upo safi, na wanasubiri hati kutoka Wizarani.