Coco ashinda taji lake la kwanza la French Open Coco Gauff Mmarekani Coco Gauff ameshinda taji lake la kwanza la French Open baada ya kumshinda nyota namba moja Duniani kwa upande wa wanawake Aryna Sabalenka kwa seti 6-7,6-2 na 6-4 Read more about Coco ashinda taji lake la kwanza la French Open