Japan yapata Waziri Mkuu Mwanamke

Waziri anayehudumu katika masuala ya uchumi na usalama wa Taifa katika Serikali ya Japan, Sanae Takaichi, ameshinda kura ya kihistoria ya kuwa Waziri Mkuu wa kwanza Mwanamke kuwahi kutokea Nchini humo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS