Nandy akataa Kumshauri Zuchu
The African Princess Nandy amefunguka kuwa linapokuja suala la Mapenzi/Mahusiano hawezi kumshauri kitu chochote msanii mwenzie Zuchu ,mbali na hilo pia bado ameendelea kukazia suala la pete yake kupotea huku akisema kuwa atakaye ipata atapewa zawadi ya milioni kumi