PSG waitunishia Madrid misuli kuhusu Konate
BEKI wa kati wa Liverpool na timu ya taifa ya Ufaransa, Ibrahima Konate, 26, rasmi ameiingiza vitani Paris Saint-Germain ambayo imeonyesha nia ya kutaka kumsajili katika dirisha lijalo la majira ya baridi na kuipiku Real Madrid.

