Nyanda Kuwarusha UG Mwezi Ujao

March 8, inatarajiwa kuwa ni siku ya kipekee nchini Uganda kutokana na maadhimisho ya siku ya wanawake ambayo yatapambwa vizuri kabisa na msanii wa muziki wa kimataifa, Nyanda kutoka huko nchini Jamaica.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS