MIGIRO:Wanawake wanaweza

Waziri wa katiba na sheria Asha Rose Migiro

Wakati Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha siku ya wanawake duniani leo Waziri wa katiba na sheria Dakta Asha Rose Migiro amesema iwapo wanawake nchini watapendana wanawewza kufikia malengo yao.

Waziri Mgiro ametoa kauli hiyo jana mjini Dodoma katika salama zake za siku ya wanawake duniani inayoadhimishwa leo.

Naye mke wa rais Mama Salma Kikwete akitoa salamui zake katika kuadfhimisha siku ya wanawake duniani amesema anaamini iko siku bara la Afrika litaongozwa na marais wanawake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS