Mwasiti akiongelea mchakato na vikwaso vya wanawake kwenye tasnia ya mziki wa kizazi kipya.
Ukiwa mwezi wa kusherekea wanawake ndani ya Planet Bongo Mwasiti akiongelea kuhusu changa moto za wanawake kwenye tasnia ya mziki wa Bongo Flava, na nini kina hitaji kubadilika.