Msondo Ngoma kutambulisha wapya

Mwanamuziki aliyerithi mikoba ya baba yake aliyewahi kuwa gwiji wa muziki wa dansi nchini Tanzania TX William Moshi, Hassan Moshi TX Jr. anatarajia kuandaa onyesho maalum la utambulisho wa wanamuziki wapya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS