Barbie aukwaa ubalozi Msanii Bobi Wine pamoja na mkewe Barbie wameendelea kuwa na mchango wenye manufaa kwa jamii, na hii ni kutokana na hatua yao ya hivi karibuni ya kuanza kujihusisha na mpango wa kusaidia vijana nchini Uganda. Read more about Barbie aukwaa ubalozi