Juliana na Kansiime wapongezwa
Juliana Kanyomozi pamoja na mchekeshaji Anne Kansiime wa nchini Uganda wamepongezwa kwa jitihada zao za kufanya kazi kwa bidii na pia kutumia sanaa zao katika kusogeza mbele shughuli mbalimbali za maendeleo ya sanaa na nchi kwa ujumla.